Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018
link : RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akisainib kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao Makuu ya Baraza hilo Kurasini Jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akitoa salamu zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akizungumza wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa,Mama Anna Mkapa pamoja na Maaskofu, Mapadre, Masista na Waumini wenginne wakati ibada ikiendelea ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya, iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2018. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akipongezwa mara baada ya kutoa salamu za rambirambi na Makamu wa Rais wa baraza la Maaskofu wa Kanisa katoliki Baba Askofu Dkt.Flavian Kasalla wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akipongezwa mara baada ya kutoa salamu za rambirambi na Makamu wa Rais wa baraza la Maaskofu wa Kanisa katoliki Baba Askofu Dkt.Flavian Kasalla wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akipongezwa mara baada ya kutoa salamu za rambirambi na Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam Mhadhama Polycapy Kadinali Pengo wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2018.

PICHA NA IKULU.


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/rais-dkt-magufuli-ashiriki-ibada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU EVARISTO CHENGULA WA JIMBO KUU LA MBEYA NOVEMBA 26, 2018"

Post a Comment

Loading...