Loading...

SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR

Loading...
SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR
link : SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR

soma pia


SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR

*Viongozi wazungumzia ubora wa bidhaa zao, waipongeza Serikali
*Watakaonunua bidhaa kwao kuingia kwenye droo kila siku

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii.

DUKA kubwa la kisasa linaouza bidhaa za aina mbalimbali za Samsung zenye viwango vya hali ya juu katika ubora limefunguliwa Posta katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

Uzinduzi wa duka hilo umefanyika leo Desemba 24 mwaka 2018 ambapo viongozi wa ngazi mbalimbali wa kampuni ya Samsung ndani na nje ya Tanzania pamoja na baadhi ya wananchi wa Jiji hilo wameshuhudia uzinduzi huo uliokwenda sambamba na punguzo la bei pamoja na droo mbalimbali za kujishindia zawadi kwa wanaonunua bidhaa zao.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka hilo lililopo jengo la Askari Posta Mpya jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa vifaa vya kieletroniki Happy Grayson amesema Samsung ni bidhaa kubwa duniani na yenye ubora wa uhakika.

“Tumeamua kufungua duka hili eneo la Posta mpya jijini Dar es Saam kwa ajili ya kuhakikisha bidhaa zetu zinapatikana kwa urahisi na gharama nafuu.Hatutaki watu wanaohitaji bidhaa za Sumsung wasumbuke kuzipata.
“Tunayo maduka mengi nchini ikiwemo jijini Dar es Saalam lakini umuhimu wa duka hili unatokana na ukweli kwamba kuna bidhaa zote za Samsung ambazo mteja anahitaji kununua kutoka kwetu,”amesema.
1
Mkurugenzi Mkuu wa Samsung Afrika Mashariki Hong Seok na Mkurugenzi wa vifaa vya kieletroniki Happy Grayson wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa duka jipya la vifaa vya Samsung Posta jijini Dar es salaam leo kulia ni Abraham Okore Mkuu wa Usambazaji Samsung na kushoto ni Suleiman Mohammed Meneja Mkazi wa Samsung.
2
Mkurugenzi Mkuu wa Samsung Afrika Mashariki Hong Seok na Mkurugenzi wa vifaa vya kieletroniki Happy Grayson, , Abraham Okore Mkuu wa Usambazaji Samsung na Suleiman Mohammed Meneja Mkazi wa Samsung wakiingia dukani mara baada ya kukata utepe wakati wa uzinduzi huo.
3
Mkurugenzi Mkuu wa Samsung Afrika Mashariki Hong Seok akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa vifaa vya kieletroniki Happy Graysonmara baada ya kuzinduliwa kwa duka hilo.



Hivyo makala SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR

yaani makala yote SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/samsung-wafungua-duka-jipya-la-kuuza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SAMSUNG WAFUNGUA DUKA JIPYA LA KUUZA BIDHAA ZAKE DAR"

Post a Comment

Loading...