Loading...

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

Loading...
SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA
link : SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

soma pia


SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NMB ulioongozwa na Ofisa Mkuu wa Mikopo wa Benki hiyo, Ndg. Tom Borghlos (wa pili kushoto) walipomtembelea leo tarehe 14 Novemba 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa tatu kushoto ni Mjumbe wa Bodi, Ndg. Jos Lange, Afisa wa Benki ya NMB, Ndg. Juliana muwanga (wa tatu kulia), Mkuu wa Biashara Benki ya NMB, Ndg. Donatus Richard (wa pili kulia) na Meneja kanda ya kati, Ndg. Nsolo Mlozi

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Ofisa Mkuu wa Mikopo wa Benki ya NMB, Ndg. Tom Borghlos (wa pili kushoto) pale ugeni kutoka Benki hiyo ulipomtembelea leo tarehe 14 Novemba 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Mjumbe wa Bodi NMB, Ndg. Jos Lange na Afisa wa Benki ya NMB, Ndg. Juliana muwanga
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (watatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Benki ya NMB ulioongozwa na Ofisa Mkuu wa Mikopo wa Benki hiyo, Ndg. Tom Borghlos (watatu kulia) walipomtembelea leo tarehe 14 Novemba 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiagana na Mjumbe wa Bodi wa Benki ya NMB, Ndg. Jos Lange pale ugeni kutoka Benki ya NMB ulipomtembelea leo tarehe 14 Novemba 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkuu wa Biashara Benki ya NMB, Ndg. Donatus Richard. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

yaani makala yote SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/spika-wa-bunge-job-ndugai-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...