Loading...
title : TAIFA STARS YAKWEA PIPA AFRIKA KUSINI KUJIWINDA NA LESOTHO.
link : TAIFA STARS YAKWEA PIPA AFRIKA KUSINI KUJIWINDA NA LESOTHO.
TAIFA STARS YAKWEA PIPA AFRIKA KUSINI KUJIWINDA NA LESOTHO.
Kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kinaondoka alfajiri ya leo kuelekea Afrika Kusini kwa kambi maalum kujiandaa na mchezo wa kufuzu kuelekea AFCON 2019 dhidi ya Lesotho.
Kwa mujibu wa Meneja wa timu, Danny Msangi, amesema Stars itakuwa Afrika Kusini kwa kambi ya siku kabla ya kuelekea Lesotho.
Meneja huyo ameeleza Stars ikiwa nchini humo itaungana na wachezaji wengine wanaocheza soka nje ya Tanznia.
Wachezaji wote ambao wameitwa hapa nchini tayari wapo pamoja hivi sasa tayari kwa safari hiyo ya alfajiri leo.
Stars itakuwa na kibarua hicho Novemba 8 ambapo mchezo huo utakuwa ni wa kundi L.
Hivyo makala TAIFA STARS YAKWEA PIPA AFRIKA KUSINI KUJIWINDA NA LESOTHO.
yaani makala yote TAIFA STARS YAKWEA PIPA AFRIKA KUSINI KUJIWINDA NA LESOTHO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YAKWEA PIPA AFRIKA KUSINI KUJIWINDA NA LESOTHO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/taifa-stars-yakwea-pipa-afrika-kusini.html
0 Response to "TAIFA STARS YAKWEA PIPA AFRIKA KUSINI KUJIWINDA NA LESOTHO."
Post a Comment