Loading...
title : TAMASHA LA KUWA MJANJA LA VODACOM LATOA ELIMU YA AFYA KWA VIJANA.
link : TAMASHA LA KUWA MJANJA LA VODACOM LATOA ELIMU YA AFYA KWA VIJANA.
TAMASHA LA KUWA MJANJA LA VODACOM LATOA ELIMU YA AFYA KWA VIJANA.
Meneja ruzuku Na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (katikati ) akiwa pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam, wakielekezwa na mtaalam wa ubunifu wa kazi za mikono Flora Richard jinsi ya kutengeneza bangiri za batiki wakati wa Tamasha la Kuwa Mjanja ambalo ni maalumu kwa ajili ya vijana kupata elimu ya Afya iliyoandaliwa na PSI kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania Foundation.
Baadhi ya Wanafunzi wa shule ya sekondari Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam, wakijifunza elimu ya ujasiriamali wa kazi za mikono pamoja na Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzywania Foundation, Sandra Oswald ( Kulia) wakati wa tamasha la Kuwa Mjanja ambalo ni maalumu kwa ajili ya vijana kupata elimu ya afya, elimu ya ujasiriamali iliyoandaliwa na PSI kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania Foundation.
Meneja ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation,Sandra Oswald (watatu kushoto) akionyeshwa ujumbe maalumu kwenye Tablet na Meneja miradi wa PSI Tanzania, Dkt. Anna Temba (wa pili kulia) Kutoka kushoto ni mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Goba Magreth Richard, Agnes John, Mhamasishaji wa Vijana PSI Semeni.
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kushirikiana na PSI wamefanikiwa kufanya tamasha linalojulikana kwa jina 'Kuwa Mjanja' kwa ajili ya kuwapa vijana kupata elimu ya afya jambo ambalo linasaidia kufanikisha maendeleo ya taifa.
Tamasha hilo limefanyika hivi karibuni katika shule ya Sekondari Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam ambapo limelenga kutoa elimu ya afya kwa vijana.
Imeelezwa kuwa tamasha hilo ni maalumu kwa ajili ya vijana kupata elimu ya afya ambalo limeandaliwa na PSI kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania Foundation.
Hivyo makala TAMASHA LA KUWA MJANJA LA VODACOM LATOA ELIMU YA AFYA KWA VIJANA.
yaani makala yote TAMASHA LA KUWA MJANJA LA VODACOM LATOA ELIMU YA AFYA KWA VIJANA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA KUWA MJANJA LA VODACOM LATOA ELIMU YA AFYA KWA VIJANA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/tamasha-la-kuwa-mjanja-la-vodacom-latoa.html
0 Response to "TAMASHA LA KUWA MJANJA LA VODACOM LATOA ELIMU YA AFYA KWA VIJANA."
Post a Comment