Loading...

TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI

Loading...
TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI
link : TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI

soma pia


TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI


MBUNGE wa Korogwe vijijini ndugu Timotheo Mnzava leo tarehe 21/11/2018 amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe Bw. Kwame Daftari pamoja na wakuu wa idara. 

Kikao hiko kifupi kilikuwa kimelenga zoezi la utambulisho baina ya mbunge na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Korogwe ikiwa ni katika kuunganisha nguvu ya pamoja katika kuleta maendeleo endelevu kwa jimbo la Korogwe vijijini na wilaya kwa ujumla. 

Kikao hiko pia kilihudhuriwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Korogwe vijijini ndugu Charles Mweta. 

“Nimekuja kukutana nanyi nikiwa na lengo kuu la mimi kuwafahamu ila nanyi mnifahamu, kwapamoja tuunganishe nguvu katika kuwatumikia wanakorogwe, tupunguze kuzungumza sana na tuongeze uwezo wa kiutendaji ili tuendane na kasi ya rais Mh. John Pombe Magufuli ya kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025,” alisema Mh. Mnzava. 

Aidha Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Korogwe, Bw. Daftari kwa niaba ya wakuu wa idara ameahidi kutoa ushirikiano wa dhati kwa mbunge ili kufikia lengo la kuleta matokeo chanya ambayo yataleta maisha bora kwa wananchi wa Korogwe.
Mbunge wa Korogwe Vijijini,Ndugu  Timotheo Mnzava.


Hivyo makala TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI

yaani makala yote TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/timotheo-mnzava-kufuata-nyayo-za-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TIMOTHEO MNZAVA KUFUATA NYAYO ZA RAIS MAGUFULI"

Post a Comment

Loading...