Loading...
title : VODACOM WAJADILI UCHUMI WA KIDIGITALI
link : VODACOM WAJADILI UCHUMI WA KIDIGITALI
VODACOM WAJADILI UCHUMI WA KIDIGITALI
Mkurugenzi Mtendaji wa Universal Communication Service Access Fund (UCSAF), Peter Ulanga akizungumza katika mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) uliofanyika jijini Dar es Salaam mapema jana. Mkutano huu umelenga kujadili ukuaji wa uchumi wa kidijitali.
Kaimu Mkurugenzi wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Bw Hisham Hendi akitoa mada kuhusiana na uchumi wa kidijitali kaatika mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Bw Hisham Hendi akitoa mada kuhusiana na uchumi wa kidijitali katika mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Nyuma ni Mkurugenzi wa Muendeshaji wa kampuni ya FSDT, Bi Irene Mlola na Mwenyekiti wa DTBi, Bw Mihayo Wilmore.
Hivyo makala VODACOM WAJADILI UCHUMI WA KIDIGITALI
yaani makala yote VODACOM WAJADILI UCHUMI WA KIDIGITALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM WAJADILI UCHUMI WA KIDIGITALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/vodacom-wajadili-uchumi-wa-kidigitali.html
0 Response to "VODACOM WAJADILI UCHUMI WA KIDIGITALI"
Post a Comment