Loading...

Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo.

Loading...
Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo.
link : Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo.

soma pia


Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo.


Na Shamimu Nyaki – WHUSM.
Serikali imevitaka vyama vya michezo nchini kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika vyama hivyo kwa kuongeza ushirikiano na ukaribu miongoni mwao ili kukuza michezo nchini.

Hayo yamesemwa leo Jiji Dodoma na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe wakati wa mashindano ya Dodoma Marathon yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini hapo.

“Ni lazima mshirikiane na Serikali katika kutatua changamoto pindi mnapokutana nazo lakini pia mnapotaka kuanzisha michezo kama hii, Wizara ipo tayari kushirikiana na nyie ili kuboresha panapohitajika marekebisho kwa manufaa ya maendeleo ya michezo hapa nchini” Alisema Dkt Mwakyembe.

Kwa upande wake mratibu wa mashindano hayo Bw.Ally Nchahaga alieleza kuwa lengo la kuandaa mashindano hayo ni kuendeleza vipaji vilivyopo katika riadha pamoja na kuendeleza juhudi za Serikali katika kukuza uchumi kupitia michezo.

“Lengo la Dodoma Marathoni ni kukuza vipaji vya riadha vilivyopo ili viendelee kujioneshana kujiuza kwakua michezo sasa hivi ni ajira kubwa sana ulimwenguni”Aliongeza Bw.Ally.

Ameongeza kuwa mbio hizo pia zinalenga kuitangaza Dodoma kama Makao Makuu ya nchi na kutaka wadau wengine waedelee kuunga mkono jitihada za Serikali za kukuza Jiji hilo.

Mbio hizo zilikua za Km. 42 na 21 kwa wanaume  na wanawake pamoja na Km.2 na nusu kwa watoto na washindi mbalimbali walipata zawadi za fedha pamoja na medali.


Hivyo makala Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo.

yaani makala yote Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/vyama-vya-michezo-vyahimizwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vyama vya Michezo vyahimizwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto zilizopo."

Post a Comment

Loading...