Loading...

WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA

Loading...
WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA
link : WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA

soma pia


WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA

ZAIDI ya wajasiriamali 250 wamekwisha wasili Jijini Tanga kwa ajili ya  maonyesho ya Shirika la kuhudumia viwanda vidogovidogo (SIDO)Kanda ya  Kaskazini yanayotarajiwa kuanza kesho Nov 22 hadi 26 ambapo mgeni anatarajiwa  kuwa Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Joseph Kakunda

Hayo yamezungumzwa na Afisa Uendelezaji Biashara (SIDO) Mkoa Tanga  Gladness Foya alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na  maonyesho hayo ambayo yatafanyika katika viwanja vya tangamano Jijini hapa  na kushirikisha Nchi toka Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Foya alisema maandalizi yapo vizuri na tayari baadhi ya wafanyabaishara  toka Nchini Uganga na Burundi wamekwisha wasili kwa ajili ya maonyesho hayo  ambayo yanajumuisha mikoa ya Tanga,Kilimanjaro.Arusha na Manyara.“Tumekwisha anza pokea wageni na wapo zaidi ya wajasiriamali 250 wamekwisha  wasili na watatu toka Uganda na watano toka Burundi na tunatarajia kupokea  wageni zaidi katika maonyesho haya”Alisema Foya.

Awali akizungumzia maonyesho hayo Mkuu wa Mkoa Tanga Martin Shigella  alisema ni fursa kwa Watanzania na wananchi wa ndani ya jiji na nje  kujifunza namna Serikali ya awamu ya tano inavyotekeleza kwa vitendo uchumi  wa viwanda.Aidha alisema tayari taasisi za kifedha,wamili wa viwanda na wasindikaji  wamekwisha wasili Jijini hapa kwa ajili ya maonyeshoi hayo ambayo  yatawajenga katika nyanja hiyo ya uchumi wa viwanda na ujasiriamali.

“Tunaowageni wengi tumekwisha anza wapokea na zaidi ni fursa kwetu na  wajasiriamali maana watapata muda wa kuuza bishara zao na kuona bidhaa  zinazozalishwa na sido na wanaweza kuomba kutengenezewa labda niseme tu ni  fursa kubwa”Alisema Shigella.

Hata hivyo aliwaomba wafanya biashara kuyatumia maonyesho hayo ili kuweza  kujinufaisha kibiashara na namna ya kuweza kupata bidhaa bora toka shirika  hilo la Sido.
 MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akizungumza kuhusiana na maonyesho hayo kushoto ni Mhasibu wa SIDO mkoani Tanga Janeth Kiwale
 Afisa Uendelezaji Biashara (SIDO) Mkoa Tanga  Gladness Foya akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na  maonyesho hayo ambayo yatafanyika katika viwanja vya Tangamano Jijini Tanga kesho na kushirikisha Nchi toka Jumuiya ya Afrika Mashariki kulia ni Mhasibu wa SIDO Mkoani Tanga Janeth Kiwale
Sehemu ya waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia mkutano huo



Hivyo makala WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA

yaani makala yote WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wajasiriamali-250-kushiriki-maonesho-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAJASIRIAMALI 250 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO KANDA YA KASKAZINI JIJINI TANGA"

Post a Comment

Loading...