Loading...
title : WAKALA WA MAJENGO TANZANIA YATAKIWA KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KITUO CHA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA
link : WAKALA WA MAJENGO TANZANIA YATAKIWA KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KITUO CHA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA
WAKALA WA MAJENGO TANZANIA YATAKIWA KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KITUO CHA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imetakiwa kukamilisha kwa wakati mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa cha Kanda ya Ziwa uliopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.
Wito huo, umetolewa na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko wakati wa ziara ya kikazi kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.
Bi. Mwaluko ameitaka Wakala hiyo kuhakikisha inakamilisha ujenzi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kukusanya, kuchambua, kutunza na kuhifadhi kumbukumbu mbalimbali kutoka katika Taasisi za Umma zilizopo kanda ya Ziwa kwa lengo la kulinda urithi andishi na historia ya Taifa letu.
Bi. Mwaluko ameielekeza Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa kuzungumza na Wakala wa Majengo Tanzania na kukubaliana tarehe rasmi ambayo jengo litakuwa limekamilika ili taarifa hiyo itolewe kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa iliyopanga kutembelea kituo hicho hivi karibuni kwa lengo la kujiridhisha na ujenzi uliofanyika.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko akitazama ramani ya mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko akitoa maelekezo ya kuboresha ujenzi wa Kituo cha kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wakati wa ziara ya kikazi kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko akizungumza na Wataalam wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) mara baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Kanda ya Ziwa wakati wa ziara ya kikazi kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.

Hivyo makala WAKALA WA MAJENGO TANZANIA YATAKIWA KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KITUO CHA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA
yaani makala yote WAKALA WA MAJENGO TANZANIA YATAKIWA KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KITUO CHA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAKALA WA MAJENGO TANZANIA YATAKIWA KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KITUO CHA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wakala-wa-majengo-tanzania-yatakiwa.html
0 Response to "WAKALA WA MAJENGO TANZANIA YATAKIWA KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KITUO CHA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA"
Post a Comment