Loading...

Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa

Loading...
Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa
link : Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa

soma pia


Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi kutoka Umoja wa Mataifa, Bi. Huda Hanina ambaye yupo nchini kwa ajili ya kutoa Semina ya kuwajengea uwezo Watanzania kuhusu mbinu za kuomba ajira kwenye Umoja wa Mataifa. Balozi Mwinyi alipongeza hatua hiyo kwa kuwa Tanznaia licha ya kuwa ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kuchangia vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa duniani, lakini idadi ya Watanzania waliojairiwa katika Sekretarieti ya umoja huo ni ndogo mno. 
Sehemu ya Uongozi wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania pamoja Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Bi. Hellen Maduhu wakifuatilia mazungumzo .
Sehemu nyingine ya watumishi wa Serikali wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Balozi Mwinyi na Bi. Hanani 
Mazungumzo yakiendelea. 
Balozi Mwinyi na Bi. Hanani wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi kutoka serikalini na Umoja wa Mataifa. 



Hivyo makala Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa

yaani makala yote Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/watanzania-wajengewa-uwezo-wa-kupata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watanzania wajengewa uwezo wa kupata ajira Umoja wa Mataifa"

Post a Comment

Loading...