Loading...
title : WAZIRI MKUU AAGIZA VYOO NA MIFUMO YA MAJI VIWANDANI VIKAGULIWE
link : WAZIRI MKUU AAGIZA VYOO NA MIFUMO YA MAJI VIWANDANI VIKAGULIWE
WAZIRI MKUU AAGIZA VYOO NA MIFUMO YA MAJI VIWANDANI VIKAGULIWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Usafi wa Mazingira Shirika la Plan International Dodoma Rachel Stephen, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018, kutoka kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Mohammed Bakari, , Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalim.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi funguo ya gari mshindi wa kwanza katika usafi Mkuu wa Wilaya ya Njiombe Ruth Msafiri, kwenye ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Afya wa mikoa nchini, katika ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Maafisa Afya wa mikoa nchini, wakati alipofungua rasmi mkutano wa maafisa hao kwenye ukumbi wa mipango jijini Dodoma Novemba 23, 2018.
Hivyo makala WAZIRI MKUU AAGIZA VYOO NA MIFUMO YA MAJI VIWANDANI VIKAGULIWE
yaani makala yote WAZIRI MKUU AAGIZA VYOO NA MIFUMO YA MAJI VIWANDANI VIKAGULIWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AAGIZA VYOO NA MIFUMO YA MAJI VIWANDANI VIKAGULIWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-aagiza-vyoo-na-mifumo-ya_23.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AAGIZA VYOO NA MIFUMO YA MAJI VIWANDANI VIKAGULIWE"
Post a Comment