Loading...
title : Waziri wa mambo ya Ndani ziarani Zanzibar
link : Waziri wa mambo ya Ndani ziarani Zanzibar
Waziri wa mambo ya Ndani ziarani Zanzibar
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akizungumza na Wananchi wanaohudumiwa katika Idara ya Uhamiaji Kilimani Zanzibari wakati alipofanya ziara katika Idara hiyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akipata maelekezo kutoka kwa mtendaji wa Mmlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akikaguwa Gwaride maalumu la Jeshi la Polisi alipowasili Makao Makuu ya Polisi Ziwani Zanzibar.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akizungumza na watendaji wa Jeshi la Polisi, Uhamiaji na NIDA katika Ukumbi wa Jeshila Polisi Zanzibar.
Picha Na. Miza Othman - Maelezo Zanzibar.
Hivyo makala Waziri wa mambo ya Ndani ziarani Zanzibar
yaani makala yote Waziri wa mambo ya Ndani ziarani Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa mambo ya Ndani ziarani Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-wa-mambo-ya-ndani-ziarani.html
0 Response to "Waziri wa mambo ya Ndani ziarani Zanzibar"
Post a Comment