Loading...
title : ZAIDI YA WANANCHI 500 BUTIAMA WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA KINYWA CHA MENO.
link : ZAIDI YA WANANCHI 500 BUTIAMA WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA KINYWA CHA MENO.
ZAIDI YA WANANCHI 500 BUTIAMA WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA KINYWA CHA MENO.
Na Frankius Cleophace Mara.
Zaidi ya wananchi wanao kadiliwa kufikia miatano wamejitokeza kupata huduma ya kinywa na meno katika wilaya ya Butiama mkoani Mara kupitia huduma ya Madkatari Bingwa wa Afya ya Kinywa na meno.
Imelezwa kuwa zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania wemekuwa Wakiungua ugonjwa wa kinywa na meno jambo ambalo linahatarisha maisha yao ambapo pia Tatizo Sugu la fizi hupelekea kutokea kwa Magonjwa mengine ikiwemo Magonjwa ya moyo na sukari.
Hayo yamebainishwa na Rais wa chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na meno Tanzania Daktari Ambege Jack Mwakatobe wakati wa utoaji huduma hiyo kwa wananchi wa Wilaya ya Butiama ,Mwitongo mkoani Mara
Daktari Mwakatobe amesema kuwa uwepo watatizo hilo ndio chanzo kikubwa cha kupelekea kutoa huduma hiyo ambapo waliamua kufanyia wilayani Butiama ikiwa lengo nikumuenzi Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na uwepo wa changamoto ya ukosefu wa watalamu wa Tatizo hilo katika hospitali za wilalaya.
“Tulishwahi kuja awali tukagundua kuwa kuna uhitaji mkubwa sana wa kutoa hudma ya matatizo ya Fizi ndio maana tumeamua kuja kutoa huduma hii ambapo novemba 28 tunamkutano wetu wa madaktari Bingwa.” Alisema Mwakatobe.
Mkuu wa wilaya ya Butiama Anarose Nyamubi akiongea na baadhi ya waginjwa wa maeneo katika eneo la madaktari bingwa wa Kinywa na meno wanapotoa huduma.
Madaktari bingwa wa kinywa na Meno wakiendelea na matibabu ikiwemo kungoa Meno katika eneo la Mwitongo Wilayani Butiama Mkoani Mara.
Baadhi ya wananchi wakipatiwa elimu jinsia ya kutunza vinywa na Meno.
Wanafunzi wa Sekondari wa Sekondari wakipatiwa elimu ya kutunza Kinywa na Meno.
Hivyo makala ZAIDI YA WANANCHI 500 BUTIAMA WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA KINYWA CHA MENO.
yaani makala yote ZAIDI YA WANANCHI 500 BUTIAMA WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA KINYWA CHA MENO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZAIDI YA WANANCHI 500 BUTIAMA WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA KINYWA CHA MENO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/zaidi-ya-wananchi-500-butiama.html
0 Response to "ZAIDI YA WANANCHI 500 BUTIAMA WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA KINYWA CHA MENO."
Post a Comment