Loading...

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Loading...
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI
link : ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

soma pia


ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mpunga uliovunwa tayari wa Bw. Emmanuel Paschal(kushoto) wakati alipotembelea Skimu ya Umwagiliaji ya Lower Moshi katika eneo la Mabogini ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wakulima wa mpunga alipotembelea Skimu ya Umwagiliaji ya Lower Moshi katika eneo la Mabogini ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia aina mbali mbali za kahawa wakati wa maandalizi ya kujaribiwa kwenye maabara ya shamba ya Kahawa la Kilimanjaro Plantation Ltd. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia aina mbali mbali za kahawa wakati wa maandalizi ya kujaribiwa kwenye maabara ya shamba ya Kahawa la Kilimanjaro Plantation Ltd. 
21
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Uru Kusini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Uru. Makamu wa Rais yupo kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo. 
6
Sehemu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Polisi Uru Kusini.Makamu wa Rais yupo mkoani Kilimanjaro katika ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za Maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>


Hivyo makala ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

yaani makala yote ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/ziara-ya-makamu-wa-rais-halmashauri-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI"

Post a Comment

Loading...