Loading...

AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA

Loading...
AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA
link : AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA

soma pia


AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (aliyevaa tai), akiongozana na Viongozi wa Jeshi la Polisi kukagua majengo ya polisi katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima ,akiangalia moja ya mabweni katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Kulia  ni Mkuu wa Chuo hicho, Naibu  Kamishna  Anthony  Rutashugulubukwa, ikiwa ni  mwanzo  wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Jeshi la Polisi ,Naibu Kamishna Anthony Rutashugulubukwa, akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(katikati), baada ya  kukagua majengo ya chuo , jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho  wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima akizungumza katika Kikao na Maafisa wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani) ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Lojistiki, Naibu Kamishna Leonard Paul
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Lojistiki Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna Leonard Paul akizungumza katika Kikao na Maafisa wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani) ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya Chuo cha Taaluma ya Polisi  wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.Kikao kimefanyika jijini Dar es Salaam.Kushoto  ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Hivyo makala AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA

yaani makala yote AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/agizo-la-jpm-laanza-kutekelezwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AGIZO LA JPM LAANZA KUTEKELEZWA"

Post a Comment

Loading...