Loading...
title : ALBERT GSENGO/MICHUZI TV MWANZA: KUMBE NA WANAUME NAO WANASARATANI YA MATITI...
link : ALBERT GSENGO/MICHUZI TV MWANZA: KUMBE NA WANAUME NAO WANASARATANI YA MATITI...
ALBERT GSENGO/MICHUZI TV MWANZA: KUMBE NA WANAUME NAO WANASARATANI YA MATITI...
Takwimu zinaonyesha kati ya wanawake laki moja ,wanawake 20 wanapata saratani ya matiti huku 20 kati ya wanawake hao wanafariki kutokana na ugonjwa huo Kwa kuliona hilo Hospitali ya Rufaa ya Bugando tangu tarehe 12 wameanza kutoa huduma ya upimaji na upasuaji kwa wanawake wenye matatizo ya saratani ya matiti hadi tarehe 14 mwezi huu Hayo yameelezwa na Daktari bingwa wa upasuaji kutoka hospitali hiyo Dr Vihar Kotecha wakati akizungumza na mwandishi wetu jijini humo.
Ameeleza lengo la utoaji huduma hiyo wanawake wapate fursa ya kujua afya zao juu ya tatizo la kansa ya matiti kupewa ushauri na tiba kabla ugonjwa huo hujafika hatua ya mgonjwa kupoteza maisha Dr Vihar ameeleza kansa ya matiti inatibika kama mgonjwa akigundulika mapema na kupewa tiba ya ugonjwa huo.
Lakini hivi unajua kuwa na wanaume nao wanapatwa na saratani ya matiti? Basi ungana nasi kuona na kushuhudia.....
Hivyo makala ALBERT GSENGO/MICHUZI TV MWANZA: KUMBE NA WANAUME NAO WANASARATANI YA MATITI...
yaani makala yote ALBERT GSENGO/MICHUZI TV MWANZA: KUMBE NA WANAUME NAO WANASARATANI YA MATITI... Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALBERT GSENGO/MICHUZI TV MWANZA: KUMBE NA WANAUME NAO WANASARATANI YA MATITI... mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/albert-gsengomichuzi-tv-mwanza-kumbe-na.html
0 Response to "ALBERT GSENGO/MICHUZI TV MWANZA: KUMBE NA WANAUME NAO WANASARATANI YA MATITI..."
Post a Comment