Loading...

ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA.

Loading...
ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA.
link : ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA.

soma pia


ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma SACP Gemini Mushy amesema kuwa mnamo disemba 27 majira ya jioni Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kambi ya Chandarua iliyopo Wilayani Songea Mkoani Ruvuma askari aitwaye Ssgt Juma Uwesu Mkele akiwa kazini pamoja na raia Veronika Kayombo waliuawa kwa kupigwa risasi na askari wa JWTZ aitwaye Sgt Batisin Philip Samda akitumia bunduki aina ya SMG.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma SACP Gemini Mushy amesema kuwa askari Magereza aitwaye Adam Kunwa ambaye ni mganga katika Zahanati ya ya Gereza la Kitai lililopo Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma akiwa lindoni alijiua kwa kujipiga Risasi kichwani na kufariki na upelelezi wa polisi unaendelea ili kuweza kubaini nini chanzo



Hivyo makala ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA.

yaani makala yote ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/askari-magereza-ajiua-kwa-kujipiga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ASKARI MAGEREZA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI RUVUMA."

Post a Comment

Loading...