Loading...

Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu

Loading...
Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu
link : Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu

soma pia


Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu


Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano (pichani) hii leo Disemba 23, 2018 amewekwa wakfu na kusimikwa kazini katika ibada maalum iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini, Askofu Mussa Magwesela katika kanisa la AICT Makongoro Jijini Mwanza.
Jopo la Maaskofu wa Kanisa la AICT wakimweka wakfu na kumsimika kazini Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Mwanza, Askofu Philipo Magwano.
Mgeni rasmi kwenye ibada hii maalum ya kumweka wakfu na kumsimika kazini Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza alikuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto).Tazama BMG Online TV hapa chini.



Hivyo makala Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu

yaani makala yote Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/askofu-mkuu-kanisa-la-aict-dayosisi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Askofu Mkuu Kanisa la AICT Dayosisi ya Mwanza awekwa wakfu"

Post a Comment

Loading...