Loading...

BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu

Loading...
BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu
link : BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu

soma pia


BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu


 Image result for picha za chadema
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (BAVICHA) wakiongozwa na Mwenyekiti wao Patrick Ole Sosopi, jana Desemba 12, 2018 wamewasilisha barua katika Ofisi ya Jaji Mkuu, Ibrahim Hamis Juma jijini Dar es salaam, wakilalamikia kukiukwa kwa haki kwenye mahakama.
 
Patrick Ole Sosopi amesema wamefikia uamzi huo kwa kuona hakuna sehemu nyingine wanaweza kupata haki kutokana na viongozi wao wa kitaifa kukosa badhi ya haki ikiwemo kuwaeleza wananchi maendeleo ya kesi zao mahakamani.

''Tumechukua hatua ya kumwandikia barua Jaji Mkuu Ibrahim Hamis Juma, kumweleza malalamiko yetu juu ya uonevu wanaofanyiwa viongozi wetu na vyombo vya dola na sasa vimefika mpaka mahakamani sasa ambapo viongozi wetu wana kesi mbalimbali lakini hawapati haki zao'', amesema Sosopi.

Aidha Ole Sosopi, ameongeza kuwa kuna mambo mengi yanayofanyika ambayo yanaenda kinyume na haki katika Mahakama ikiwemo kukamatwa na kupigwa kwa wanachama wa CHADEMA wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kichama.

Pia amesisitiza kuwa barua hiyo haiishii kwa Jaji Mkuu pekee bali inakwenda pia kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali Dkt. Adelardus Kilangi pamoja na  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro.


Hivyo makala BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu

yaani makala yote BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/bavicha-waandika-barua-nzito-kwa-jaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BAVICHA Waandika barua nzito kwa Jaji Mkuu"

Post a Comment

Loading...