Loading...

BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI

Loading...
BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI
link : BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI

soma pia


BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) tawi la Dodoma limefafanua kwa kina majukumu yake mbalimbali na miongoni mwa majukumu hayo ni kutunza na kusambaza fedha (noti na sarafu) safi za thamani mbalimbali kwa ajili ya kuwezesha wananchi kutekeleza shughuli mbalimbali za uchumi katika Kanda ya kati. 

Tawi la BoT, Kanda ya Kati, Dodoma, ni tawi la tano kufunguliwa tangu nchi ipate uhuru; na ni moja ya matawi mawili ambayo yamefunguliwa miaka ya hivi karibuni.Wakati tawi la Dodoma limefunguliwa 15/10/2015, Tawi la Mtwara limefunguliwa Machi 2017. 

Awali Tawi la Dodoma lilitarajiwa kutoa huduma za benki kuu katika mikoa ya Dodoma, Singida Iringa and Tabora. Hata hivyo kutokana na kukamilika ujenzi wa tawi la Mtwara, na kama ilivyokuwa kwa matawi mengine ya awali, mgawanyo wa mikoa katika kanda za Benki Kuu ulibadilika. 

Meneja wa masuala ya Fedha na Takwimu kutoka Benki Kuu ya Tanzania(BoT) tawi la Dodoma Dk.Camilius Kombe ametaja baadhi ya majukumu ya tawi hilo wakati anazungumzia majukumu ya benki hiyo kwa waandishi wa habari waliokuwa kwenye mafunzo ya habari za fedha na uchumi.

Ambapo katika majukumu hayo yapo pia ya kukusanya fedha zilizotumika kutoka vituo maalum vya kusambazia fedha vilivyo katika baadhi ya mabenki ya biashara na kuondoa katika mzunguko fedha ambazo zimechakaa na hazifai kutumika tena.
Meneja Msaidizi wa Idara ya Uhusiano na Itifaki katika Benki Kuu ya Tanzania(BoT) akifafanua jambo kuhusu namna ya kutambua fedha bandia kwa waandishi wa habari za Fedha na Uchumi baada ya kutembelea BoT tawi la Dodoma kuangalia namna wanavyotunza fedha
Meneja Msaidizi kutoka Kurugenzi ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania(BoT) tawi la Dodoma Nolasco Maluli akizungumzia majukumu ya tawi hilo wakati wa semina ya waandishi wa habari mjini Dodoma leo
Meneja Msaidizi wa Huduma za kibenki BoT tawi la Dodoma Lilian Silaa akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa semina ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha na uchumi
Mtangazaji na Mwaandishi wa redio Clouds FM akizungumza kwenye semina ya waandishi wa habari za fedha na uchumi.



Hivyo makala BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI

yaani makala yote BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/benki-kuu-tawi-la-dodoma-waanika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI KUU TAWI LA DODOMA WAANIKA MAJUKUMU YAO ILI KUFANIKISHA SHUGHULI ZA UCHUMI KWA WANANCHI"

Post a Comment

Loading...