Loading...

BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA

Loading...
BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA
link : BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA

soma pia


BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA

Ni baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya kilogramu 3.03

 Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Uhujumu Uchumi jijini Dar  es Salaam, imemuhukumu Mwanamke mmoja  wa Msumbiji Ana Moisie Chissano kifungo cha maisha  baada ya kupatikana na hatia  katika  shtaka  la kukutwa na kilogramu 3.03 za dawa za kulevya aina ya cocaine Hydrochloride.

Mshtakiwa  amefungwa chini  ya kifungu cha sheria cha 15(1)(b) cha sheria namba 5 ya 2015 cha sheria Kuzuia na kusababisha na kupambana na dawa za kulevya.

Hukumu  hiyo imesomwa leo Desemba 12, 2018 na Jaji Lilian  Mashaka baada upande wa mashtaka kuweza kuthibitisha mashtaka hayo pasipo Kuacha shaka baada ya kuridhika na ushahidi  wa mashahidi sita wa  upande wa mashtaka waliofika mahakamani  hapo kutoa ushahidi wao.

Aidha Mahakama  imeamuru dawa hizo za kulevya kuteketezwa kwa utaratibu unaostahili.
 Mshtakiwa Ana Moisie Chissano raia wa Msumbiji  aliyehukumiwa kifungo cha maisha  baada ya kupatikana na hatia  katika  shtaka  la kukutwa na Kg 3.03 za dawa za kulevya aina ya cocaine Hydrochloride.
Pichani kati ni Mshtakiwa  akiwa  katika ukumbi wa wazi wa Mahakama Kuu Kitengo cha mafisadi akisubiri kusomewa hukumu yake



Hivyo makala BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA

yaani makala yote BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/breaking-newzzzzmahakama-kuu-kitengo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWZZZZ:MAHAKAMA KUU KITENGO CHA UHUJUMU UCHUMI YAMHUKUMU RAIA WA MSUMBIJI KIFUNGO CHA MAISHA"

Post a Comment

Loading...