Loading...
title : HOSPITAL YA WILAYA YA MBINGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO NNE
link : HOSPITAL YA WILAYA YA MBINGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO NNE
HOSPITAL YA WILAYA YA MBINGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO NNE

Hospitali ya Halmashauri ya Mji Mbinga Mkoni Ruvuma inakabiliwa na changamoto kubwa nne zinazopelekea kushindwa kutoa matibabu bora kwa wananchi. Akizungumza na Ruvuma TV on line Mganga Mfawidhi wa Hospital hiyo Dkt Nicholas Kapunga , amesema kwa sasa tiba wanazotoa haziwafikii walengwa ipasavyo hivyo anaiomba serikali isaidie kutatua changamoto hizo ili waweze kutoa huduma za matibabu bora kwa walengwa. Kwa undani wa habari hii tizama video yake.
Hivyo makala HOSPITAL YA WILAYA YA MBINGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO NNE
yaani makala yote HOSPITAL YA WILAYA YA MBINGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO NNE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITAL YA WILAYA YA MBINGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO NNE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/hospital-ya-wilaya-ya-mbinga.html
0 Response to "HOSPITAL YA WILAYA YA MBINGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO NNE"
Post a Comment