Loading...

HUYU HAPA MISS WORLD 20I8.

Loading...
HUYU HAPA MISS WORLD 20I8. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HUYU HAPA MISS WORLD 20I8., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HUYU HAPA MISS WORLD 20I8.
link : HUYU HAPA MISS WORLD 20I8.

soma pia


HUYU HAPA MISS WORLD 20I8.













Miss world 2018 Vanessa Ponce De Leon
Mrembo kutoka Mexico, Vanessa Ponce De Leon, ameshinda taji la urembo wa Dunia 2018 Sanya, China.

Wakati Vanessa akishinda taji la Dunia 2018 mrembo kutoka Uganga, Quiin Abenakyo, ameiwakilisha vyema Africa mashariki, kwa kutwaa taji la mrembo wa Dunia Africa.

Mrembo kutoka Tanzania, Queen Elizabeth Makune, licha ya kuchuana vikali na Mrembo kutoka Uganda, katika kipengele cha Kura hajabahatika kuingia hata 30 bora kwenye mashindano hayo.

Abenakyo, amefanikiwa kuingia kwenye 30 bora na baadae kuingia katika hatua iliyofuata ya 12 bora na kuendelea kupiga hatua kubwa zaidi mpaka kufika tano bora



Hivyo makala HUYU HAPA MISS WORLD 20I8.

yaani makala yote HUYU HAPA MISS WORLD 20I8. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HUYU HAPA MISS WORLD 20I8. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/huyu-hapa-miss-world-20i8.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HUYU HAPA MISS WORLD 20I8."

Post a Comment

Loading...