Loading...

JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI

Loading...
JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI
link : JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI

soma pia


JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI

Jaji mkuu wa Tanzania Mh. Ibraham H. Juma, amekitaka Chuo Cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kufanya tafiti na kutoa ushauri wa namna ya kuondoa migongano ya kisheria wakati Mahakama ikiendelea kuangalia namna bora ya kusimamia sheria ili kupunguza au kuondoa kabisa migongano hiyo.

Mh. Jaji Mkuu ametoa agizo hilo leo wakati akizindua baraza la tatu la wafanyakazi la Chuo Cha (IJA), katika hafla ya uzinduzi wa balaza hilo, iliyofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu Tuli cha Taifa jijini Dododma.

Kupitia hotuba yake Mh. Jaji Mkuu, mbali na kuzitambua changamoto zinazokikabili Chuo hicho, ikiwemo upungufu wa vitendea kazi na watumishi kwa kada ya utawala, aliwakumbusha watumishi wa Chuo hicho kuzingatia uadilifu katika kutekeleza shughuli zao za kila siku.

“Tunawajibika kufanya kazi kwa weledi, uthubutu na uadilifu wa hali ya juu, ili tuwawakilishe vyema wale waliotuamini sambamba na kuiwezesha serikali kufikia malengo yake ya kukuza uchumi wa viwanda na kuondoa umasikini” alisistiza Mh. Jaji Mkuu.
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Hamis akizungumza wakati wa akizindua Baraza la tatu la  wafanyakazi la Chuo cha Uongozi wa  Mahakama Lushoto Leo Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma Mhe.Ignas Kitusi na Kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo na Mwenyekiti wa  Baraza hilo Jaji  Dkt Paul Kihwelo.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la wafanyakazi la Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wakifuatilia hotuba ya  Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Hamis(hayupo pichani) wakati akizindua Baraza la tatu la  wafanyakazi la Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto Leo Jijini Dodoma.
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis  akiwa kwenye picha ya pamoja 



Hivyo makala JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI

yaani makala yote JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/jaji-mkuu-akitaka-chuo-cha-uongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAJI MKUU AKITAKA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO (IJA) KUFANYA TAFITI"

Post a Comment

Loading...