Loading...

KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA

Loading...
KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA
link : KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA

soma pia


KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye (kushoto) akimvua cheo cha zamani na kumvisha cheo kipya cha Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Mbaraka Semwanza katika ukumbi wa mikutano Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi Dar es salaam mapema leo asubuhi tarehe 11/12/2018. (Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)
Kamishna (CF) Mbaraka Semwanza akiapa baada ya kuvishwa cheo kipya cha Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo mapema leo asubuhi tarehe 11/12/2018.
Kamishna wa Utawala na Fedha (CF) Mbaraka Semwanza (kushoto) akipokea nyaraka mbalimbali za ofisi ya Utawala na Fedha kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye (kulia), baada ya kuapishwa katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo mapema leo asubuhi tarehe 11/12/2018.
Makamishna, Wakuu wa Vitengo, Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakishuhudia kuapishwa kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi hilo, katika ukumbi wa mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo mapema leo asubuhi tarehe 11/12/2018.



Hivyo makala KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA

yaani makala yote KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/kamishna-wa-utawala-na-fedha-wa-jeshi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMISHNA WA UTAWALA NA FEDHA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AAPISHWA"

Post a Comment

Loading...