Loading...

KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA

Loading...
KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA
link : KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA

soma pia


KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju (aliyesimama) akifungua kikao kazi cha kupitia rasimu ya taarifa ya nchi chini ya mkataba wa umoja wa mataifa wa haki za watu wenye ulemavu, kulia kwake ni Kaimu Kamishna Idara ya walemavu ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Josephine Lyenga. Wengine ni Afisa Mipango Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Walemavu Bw. Abushir Said Khatib (kushoto) Mwingine ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Haki za Binadamu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Nkasori Sarakikya. Kikao hicho cha siku mbili kimeanza leo (6/12/2018) kinafanyika Morena Hotel Mkoani Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi kazi cha kupitia rasimu ya taarifa ya nchi chini ya mkataba wa umoja wa mataifa wa haki za watu wenye ulemavu wakimsilikiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju alipokuwa anafungua kikao hicho.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao kazi cha kupitia rasimu ya taarifa ya nchi chini ya mkataba wa umoja wa mataifa wa haki za watu wenye ulemavu.

0468



Hivyo makala KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA

yaani makala yote KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/kikao-kazi-cha-kupitia-rasimu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIKAO KAZI CHA KUPITIA RASIMU YA TAARIFA YA NCHI CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU CHAFANA"

Post a Comment

Loading...