Loading...

KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR

Loading...
KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR
link : KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR

soma pia


KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR


Natumia fursa hii kuwafahamisha wajumbe wote wa Baraza la Vyama vya Siasa kuwa, nimepokea taarifa rasmi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa, tarehe 20 Disemba, 2018 kutakuwa na zoezi la uteuzi wa wagombea Katika Jimbo la Temeke Dar-es Salaam na Kata 48 zilizopo katika maeneo ya Wilaya mbalimbali za Tanzania Bara.

Kimsingi, matukio yote mawili, uteuzi wa wagombea wa ubunge na udiwani uliopangwa kufanyika tarehe 20 Disemba, 2018 na kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichopangwa kufanyika tarehe 21 na 22 Disemba, 2018 ni muhimu na hayo yote yanahusisha wadau walewale. Tofauti ni kuwa, ni rahisi kuahirisha kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kuliko kuahirisha siku ya uteuzi wa wagombea.

Hivyo, Kwa mujibu wa Kanuni ya 16(4) ya Kanuni za Baraza la Vyama vya Siasa, nimeshauriana na wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa na tumeamua kuahirisha kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa mpaka baada ya uchaguzi mdogo wa tarehe 19 Januari, 2018, ili kuwezesha Vyama vya Siasa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mdogo wa tarehe 19 Januari, 2018.

Tunaomba samahani kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Hivyo makala KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR

yaani makala yote KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/kuahirishwa-kikao-cha-baraza-la-vyama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUAHIRISHWA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KILICHOPANGWA KUFANYIKA DESEMBA 22, 2018 ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...