Loading...

MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA.

Loading...
MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA.
link : MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA.

soma pia


MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA.



Baadhi ya vijana kutoka Mabaraza ya vijana ya vyama vya siasa wakishikana mikono kwa ishara  ya mshikamanobaada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano katika kupinga mswaada wa vyama vya siasa leo katika makao makuu ya NCCR MAGEUZI Dar es salaam (Picha na John Luhende)

Mabaraza ya vijana ya vyama vya Siasa nchini yameungana katika kupinga mswaada wa vyama vya sia kwa madai kuwa unakandamiza vyama vya siasa na kuhatarisha amani ya nchi.

muswada wa sheria ya mabadiliko ya vyama vya siasa nchini  kwa mujibu wa vijana hao umelenga kuwabana vijana  katika  shughuli zao za siasa.

Wakizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam vijana hao wametishia kuuchana muswada huo pindi utakapofikishwa bungeni kwa ajili ya kujadiliwa.
Aidha katika Mkutano vijana hao kutoka vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR – Mageuzi na CHAUMA  waliingia kwenye mkutano huo kwa kile walichoashiria kuwa ni majonzi waliyokuwa nayo juu ya muswada huo.

Leo hii sisi tumevaa nguo nyeusi, hatuoni ‘future’ sasa basi vijana tunataka umoja tunapinga ili tuendeleea kuwa wamoja, Taasisi zote za vijana nchi hii kwa mara ya kwanza tutatangaza safari na tutauchana muswada ukiwa unataka kuingia bungeni,” amesema Likapo Bakari ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT wazalendo.

Muswada unampa mamlaka msajili kutoka kuwa mlezi wa vyama vya siasa, hadi kuwa  mdhibiti wa vyama vya siasa, hivyo basi baada ya kuutafakari kwa kina muswada huu, tumeona ndoto za vijana ziko hatarini kufa kabisa na hali ya vijana itakuwa mbaya zaidi kuliko hata ilivyo sasa, hatukubaliani nao hata kidogo,” amesema Patric Ole Sosopi, MwenyekitiBAVICHA.

Aidha Mwenyekiti wa JUVI-CUF taifa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Hamidu Jabali, amesema kuwa mchakato wa vikao vya upembuzi wa muswada huo vinaendelea baada ya kila chama kutoa wajumbe wanne watakoingia katika timu waliyoiita ya ufundi ambapo watatoa tamko rasmi baada ya kumaliza mchakato huo.



Hivyo makala MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA.

yaani makala yote MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mabaraza-ya-vijana-vyama-vya-siasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MABARAZA YA VIJANA VYAMA VYA SIASA YAPINGA MSWAADA WA VYAMAVYA SIASA ,YAAHIDI KUUCHANA."

Post a Comment

Loading...