Loading...

MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI

Loading...
MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI
link : MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI

soma pia


MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipowasili kwenye eneo la Ihumwa jijini Dodoma, unapojengwa Mji wa Serikali kukutana na Mawaziri na Makatibu Wakuu, Desemba 28, 2018. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI, Selemani Jafo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine  Mahiga, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu kwenye eneo la Ihumwa jijini  Dodoma unapojengwa mji wa Serikali
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dkt. Maulid Banyani baada ya kuzungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu kwenye eneo la Ihumwa jijini Dodoma unapojengwa Mji wa Serikali, Desemba 28, 2018.  Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi baada ya kuzungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu kwenye eneo la Ihumwa jijini Dodoma unapojengwa mji wa serikali, Desemba 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI

yaani makala yote MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/majaliwa-akutana-na-mawaziri-eneo-la_28.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AKUTANA NA MAWAZIRI ENEO LA IHUMWA DODOMA UNAPOJENGWA MJI WA SERIKALI"

Post a Comment

Loading...