Loading...
title : MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NCHI YA FALME ZA KIARABU NCHINI
link : MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NCHI YA FALME ZA KIARABU NCHINI
MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NCHI YA FALME ZA KIARABU NCHINI
Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini, Khalifa Abdulrahman Mohamed Al- Marzooqi (kushoto), akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ,Mhandisi Hamad Masauni kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika masuala ya Ulinzi na Usalama, baada ya kumtembelea katika Ofisi Ndogo za wizara hiyo, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Ubalozi huo, Saddam Ahmed Ally.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini, Khalifa Abdulrahman Mohamed Al- Marzooqi (kushoto) kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika masuala ya Ulinzi na Usalama, baada ya kumtembelea katika Ofisi Ndogo za wizara hiyo, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Ubalozi huo, Saddam Ahmed Ally.
Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini, Khalifa Abdulrahman Mohamed Al- Marzooqi akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili katika Ofisi Ndogo za Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Hivyo makala MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NCHI YA FALME ZA KIARABU NCHINI
yaani makala yote MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NCHI YA FALME ZA KIARABU NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NCHI YA FALME ZA KIARABU NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/masauni-afanya-mazungumzo-na-balozi-wa.html
0 Response to "MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NCHI YA FALME ZA KIARABU NCHINI"
Post a Comment