Loading...

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali

Loading...
Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali
link : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali

soma pia


Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali

MKURUGENZI wa Jumuiya ya Ustawishaji wa Zao la Karafuu na Viungo Pemba (JUKAVIPE) Hassan Ali Bakari akifungua mkutano wa Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachan.




MJUMBE wa Bodi ya JUKAVIPE  Khatiba Juma Mjaja, akizungumza wakati wa kikao cha Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachani
MJUKMBE wa Bodi ya JUKAVIPE Said Mohamed Ali mwenyekofia, akichangia katika kikao cha Tathmini ya nusu ya kwanza ya mafunzo ya Ujasirimali, yanayotolewa kupitia mradi wa utekelezaji wa serea na sheria ya Mabaraza ya Vijana katika Wilaya ya Mkoani Pemba, huko katika skuli ya sekondani Ngachani.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)



Hivyo makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali

yaani makala yote Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/matukio-ya-picha-kisiwani-pembamafunzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.Mafunzo ya Wajasiriamali"

Post a Comment

Loading...