Loading...

MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI

Loading...
MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI
link : MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI

soma pia


MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI


Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

WAANDISHI wa habari kutoka mitandao ya kijamii nchini hasa wanaondika habari za uchumi na fedha nchini wametoa mtazamo wao kuhusu namna ambavyo wanaitazama Benki Kuu ya Tanzania(BoT).

Mtazamo huo umetolewa leo Mjini Dodoma kwenye semina ya waandishi wa habari za fedha na uchumi ambayo imeandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania(BoT) kwa ajili ya kuwajengea uwezo waandishi wa vyombo vya habari nchini ambapo kabla ya kutolewa kwa mtazamo huo imefafanuliwa kwa kina nini maana ya mitandao ya kijamii na nguvu yake katika kuhabarisha umma.

Akitoa mada kwenye semina ya waandishi wa habari za fedha na uchumi leo Mjini Dodoma ambayo imeandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania(BoT),Mmiliki wa Blog ya K-VIS Blog Khalfan Said amesema mtandao wa kijamii ni aina ya tovuti au Application inayowaruhusu watumiaji kuwasiliana kwa kuchapisha jumbe kwa njia ya maandishi, picha au video kwa kutumia computer au Smart phones.

Amesema unapozungumzia mitandao ya kijamii inayofahamika sana na jamii yetu ni pamoja na Blogs, Youtube, Facebook, Instagram, Flicker, Tweeter, Whatsaap na LinkedIn na kwamba faida ya mitandao ya
kijamii inasaidia kutengeneza mahusiano mapya kati ya mtu na mtu, mtu na taasisi au taasisi na taasisi.


Mmiliki wa Blog ya K-VIS Blog Khalfan Said akitoa ufafanuzi kuhusu namna mitandao ya kijamii inavyofanya kazi,wakati wa emina ya waandishi wa habari za fedha na uchumi ambayo imeandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania(BoT) kwa ajili ya kuwajengea uwezo waandishi wa vyombo vya habari nchini ambapo kabla ya kutolewa kwa mtazamo huo imefafanuliwa kwa kina nini maana ya mitandao ya kijamii na nguvu yake katika kuhabarisha umma.



Mwakilishi wa Michuzi Blog Said Mwinshehe akiwa kama sehemu ya washiriki kwenye semina ya waandishi wa habari za fedha na uchumi ambayo imeandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania(BoT) kwa ajili ya kuwajengea uwezo waandishi wa vyombo vya habari nchini ambapo kabla ya kutolewa kwa mtazamo huo imefafanuliwa kwa kina nini maana ya mitandao ya kijamii na nguvu yake katika kuhabarisha umma.


Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT) tawi la Dodoma Richard Wambali( wa nne kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wengine wa Benki Ku wakiwa pamoja na waandishi wa habari baada ya kufungua semina ya waandishi wa habari za uchumi na fedha leo jijini Dodoma.



Hivyo makala MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI

yaani makala yote MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mitandao-ya-kijamii-yaeleza-inavyoiona.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MITANDAO YA KIJAMII YAELEZA INAVYOIONA BENKI KUU YA TANZANIA, YATOA USHAURI"

Post a Comment

Loading...