Loading...

MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR

Loading...
MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR
link : MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR

soma pia


MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR

 Msanii wa kizazi kipya ambae ni mkuu wa Wasafi Group Abdull Nasiyb( Diamond Platnumz) akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili na Ujumbe wake katika kituo cha Afya cha Chumbuni Zanzibar alipokwenda kutoa msaada kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
 Msanii wa kizazi kipya ambae ni mkuu wa Wasafi Group Abdull Nasiyb( Diamond Platnumz) akiwa pamoja na Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Juma (Pondeza)wapili kushoto na Wasanii wengine mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo cha Afya Cha Chumbuni Dkt Mohamed Muslim Mohamed alipokwenda kutoa msaada kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
 Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Juma (Pondeza)akitoa hotuba ya makaribisho kwa Msanii wa kizazi kipya ambae ni mkuu wa Wasafi Group Abdull Nasiyb(Diamond Platnumz)kuzungumza na Vijana na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika kituo cha Afya cha Chumbuni Zanzibar alipokwenda kutoa msaada kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
Msanii wa kizazi kipya ambae ni mkuu wa Wasafi Group Abdull Nasiyb( Diamond Platnumz) akizungumza na Vijana na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika kituo cha Afya cha Chumbuni Zanzibar alipokwenda kutoa msaada kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
 Baadhi ya wananchi mbalimbali waliofika katika kituo cha Afya cha Chumbuni Zanzibar ili kumuona Abdull Nasiyb (Diamond Platnumz) wakati alipofika kituoni hapo na ujumbe wake kwa ajili ya kutoa msaada wa Vitu mbalimbali kwa ajili ya Kinamama wanaokwenda kujifungua kituoni hapo.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR


Hivyo makala MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR

yaani makala yote MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/msanii-wa-kizazi-kipya-diamond-platnumz.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND PLATNUMZ ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA CHUMBUNI ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...