Loading...

MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO

Loading...
MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO
link : MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO

soma pia


MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO

Na Khadija Seif,Globu ya jamii

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam Abdallah Mtolea amewaambia wajumbe wa Baraza la Hamashauri ya Manispaa ya Temeke kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuwa amefanya uamuzi sahihi kujiunga na Chama hicho.

Mtolea ambaye alikuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Wananchi(CUF)alitangaza kujiuzulu ubunge na nafasi zote ndani ya CUF siku za hivi karibuni akiwa Bungeni Mjini Dodoma.

Hivyo kwa sasa amejiunga na CCM na leo wakati anazungunza kwenye baraza hilo la halmashauri ya manispaa ya Temeke ameeleza kwa kina sababu za kuondoka CUF.Akifafanua zaidi wakati akifungua kikao cha baraza hilo Mtolea amesema uamuzi sahihi kurudi CCM katika kuendeleza na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora katika kila sekta nchini.

Amebainisha kuwa wapinzani wapo kwa ajili ya kupinga juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano na kazi kubwa ni kubeza na kushawishi vijana kufanya ushabiki ambao hauna manufaa kwa maslahi ya nchi na Taifa kwa ujumla.Pia Mtolea amezungumzia wasanii ambapo amesema hawajakatazwa kufanya kampeni bali wasanii wa Mkoa husika wapatiwe vipaumbele katika kuonesha vipaji vyao.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Kata ya Temeke kupitia CCM Fadhili Faungo amesema kuwa Rais Dk.John Magufuli amekuwa anashirikiana bega kwa bega na vijana kwani anaamini vijana ndio nguvu kazi ya Taifa .Pia amesema lengo la kukutana kwa wajumbe wa Baraza hilo ni kuangalia miradi ya maendeleo ambayo itatekelezwa kupitia fedha ambazo zimetolewa na Serikali.

Wakati huo huo imeelezwa kuwa baadhi ya wajumbe wameshawasilisha mawazo yao katika matumizi ya kufungua biashara ambazo zitaleta chachu ya kuongeza pato la Taifa.
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam Abdallah Mtolea akizungumza mbele ya Wajumbe wa Baraza la Hamashauri ya Manispaa ya Temeke kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuwa amefanya uamuzi sahihi kujiunga na Chama hicho.


Hivyo makala MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO

yaani makala yote MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mtolea-aeleza-sababu-za-kujiunga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTOLEA AELEZA SABABU ZA KUJIUNGA CCM,AWAONYA WANAOBEZA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KULETA MAENDELEO"

Post a Comment

Loading...