Loading...
title : MWENDO MDUNDO,USIMIKAJI NGUZO ZA UMEME KUENDESHA TRENI YA KISASA (SGR) WAANZA
link : MWENDO MDUNDO,USIMIKAJI NGUZO ZA UMEME KUENDESHA TRENI YA KISASA (SGR) WAANZA
MWENDO MDUNDO,USIMIKAJI NGUZO ZA UMEME KUENDESHA TRENI YA KISASA (SGR) WAANZA
Kazi ya Usimikaji wa Nguzo za Umeme utakaotumika Kuendesha treni za Kisasa zitakazotumia Umeme na Reli ya kisasa - SGR imeanza eneo la Soga nje Kidogo ya Kambi ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa liyopo Soga mkoani Pwani mapema Desemba 2018. Nguzo hizo zinajengwa umbali wa Mita 500 kutoka nguzo moja hadi nyingine, urefu wa nguzo moja ni Mita 9.5 huku uzito wa nguzo Moja ukiwa Tani 2.4, zina uwezo wa kudumu kwa kipindi cha Miaka 120 pia zimewekewa madini ya Zinki kwa ajili ya kuzuia kutu.
Hivyo makala MWENDO MDUNDO,USIMIKAJI NGUZO ZA UMEME KUENDESHA TRENI YA KISASA (SGR) WAANZA
yaani makala yote MWENDO MDUNDO,USIMIKAJI NGUZO ZA UMEME KUENDESHA TRENI YA KISASA (SGR) WAANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENDO MDUNDO,USIMIKAJI NGUZO ZA UMEME KUENDESHA TRENI YA KISASA (SGR) WAANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mwendo-mdundousimikaji-nguzo-za-umeme.html
0 Response to "MWENDO MDUNDO,USIMIKAJI NGUZO ZA UMEME KUENDESHA TRENI YA KISASA (SGR) WAANZA"
Post a Comment