Loading...

MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO

Loading...
MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO
link : MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO

soma pia


MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe ndg Andrew Kadege, mapema leo amekutana na kamati ya Utekelezaji ya wilaya ya Ileje mbali na maagizo na maelekezo mbalimbali aliyowapa, lakini pia aliwachangia fedha taslim shilingi Laki Tano ( 500,000/-)  ili kulipia fidia ya eneo la zaidi ya ekari 20 la UVCCM ambapo inahitajika milion 2 kulipia fidia na baadae taratibu za kupata hati miliki zitafuata.

Ndg Kadege amesisitiza hadi januari mwishoni lazima tuwe tumemalizana na jambo la fidia kisha tuanze mchakato mapema wa kupata hati na kuanza kutekeleza mipango yetu ya kuhakikisha UVCCM tunakuwa na miradi mbalimbali  na kukuza uchumi na kujitegemea ili kuepukana na hii omba omba toka kwa wadau ambao mara zote wamekuwa na masharti ya kiuchaguzi.

Pia kamati ya Utekelezaji UVCCM wilaya ya Ileje ilimpatia zawadi ya kuku kwa ajili ya Christmass.
 Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe ndg Andrew Kadege, akikabidhi kiasi cha shilingi laki tano kwa kamati ya Utekelezaji ya wilaya ya Ileje  ili kulipia fidia ya eneo la zaidi ya ekari 20 la UVCCM, ambapo inahitajika milion mbili kulipia fidia na baadae taratibu za kupata hati miliki zitafuata.
 Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe ndg Andrew Kadege akipokea Zawadi ya Jogoo wa sikukuu kutoka kwa kamati ya Utekelezaji ya wilaya ya Ileje mara baada ya kukutana nao mapema leo.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe ndg Andrew Kadege akisaini kitabu cha wageni mapema leo baada ya kukutana na kamati ya Utekelezaji ya wilaya ya Ileje  


Hivyo makala MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO

yaani makala yote MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mwenyekiti-wa-uvccm-songwe-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWENYEKITI WA UVCCM SONGWE AKUTANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI WILAYA YA ILEJE,ACHANGI LAKI TANO"

Post a Comment

Loading...