Loading...

NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA.

Loading...
NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA.
link : NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA.

soma pia


NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA.



Mwambawahabari
 Na. John Luhende 
Hakuna ukombozi wa kiuchumi  kama unaopatika  katika vikundi vya kuweka na kukopa  pamoja na Vikoba, hasa katika watu wa maisha ya chini.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa kata ya Vingunguti Omary Said. Kumbilamoto alipokuwa mgeni rasmi katika  kikundi cha vikoba cha  Mkombozi Trust Fund, Cha jijini Dar es salaam,ambapo amewasisitiza wanakikundi hao  kuchangamkia fursa za mikopo ya Halmashauri inayotolewa bila riba.

‘’Sisi kama Halmashauri  tarehe 6  Januari mwaka 2019, itakuwandiyo mwisho wa kupoke vikundi vyote vilivyoomba kupewa mikopo ,tarehe 7 wataalamu watakaa kupitisha mikopo yote iliyoombwa ,mwamko bado ni mdogo  naomba tusii  acheipite fursa hii”Alisema 

Aidha Kumbilamoto ametoa pongezi kwa makundi ya wanawake kwa kuwa na mwamko wa kuchangamkia fursa  za mikopo  huku akitoa changamotokwa vijana   wa kiume kuacha utegemezi kwa akinamama badala yake wajitume  kufanya kazi kwabidii.

‘’Nimeangalia uchukuaji wa mikopo na kuona akaimama wamefanya vizuri  lakini tatizo liko kwa vijana wakiume sasa sijui wameridhika na kupiga mizinga? ama kulelewa na akina mama? Vijana fanyeni kazi acheni utegemezi”Alisema.

Akijibu Risala ya Kikundi hicho Kumbilamoto amesema atakisaidia kikundi hicho kupata Viti na Mizani, japo hakutaja lini atawapatia lakini amesema changamoto hizo amezichukua nakuahidi kushirikiana na kikundi hicho kukabili changamoto hizo.

Pamojana hayo Kmbilamoto amewahamasisha wananchi wakata ya Vingunguti kujiandaa kwa Machinji ya kisasa inayotarajiwa kujengwa na serikali ambapo amesema itaongeza fursa za kiuchumi .

‘’Huwezi kuwa na machijio ya kisasa ukakosa kuwa nakiwand cha kutengeza Soseji hizo nifursa wengine mtapika chakula ,pia tuna ene la pembeni ni la halmashauri tunaweza kuweka biashara nyingine na akiama mama wanaonyeshewa mvua pale nje nao tutawajengea  ili waboreshe biashara zao pia changamkiaeni vitambulisho vya ujasiliamali ambavyo amevitoa Rais ”Alisema

Kwaupande wake Mwenyekiti wa kikundi cha mkombozi Trust Fund ,amesema baada ya sheri za fedha kubadilika na kutakiwa usaji  wanaendelea na hatua za usajili ambapo ,nakuelezam kuwa tayari wanawanachama zaidi ya miatatu na ndani ya mwaka wameweza kutomikopo ya shilingi million 20.

Masema pamoja na Mafanikio waliyopata wanachangamoto ya wananchama kurejesha kurejesha mikopo, hawana izani ya kupima bidhaa wanazo uzia wao kwa wao,na wanaupungufu wa viti vya kukalia.

Pamoja na hayo wamemshukuru kwa moyo wake wa kujitoa na kusaidia  jamii ikiwemo kikundi chao.

‘’Hakuna Diwani aliye wahi kununua Abullance kwa wananchi wake  ispo kuwa  Kumbilamoto huyu ni kiongozi anaye jali watu wake ‘’Alisema


Hivyo makala NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA.

yaani makala yote NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/naibu-meya-ilala-washukia-vijana-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU MEYA ILALA WASHUKIA VIJANA WA KIUME WANAOPENDA KULELEWA NA AKIMAMA."

Post a Comment

Loading...