Loading...
title : Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini
link : Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini
Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini, Khalifa Abdulrahman Mohamed Al- Marzooqi (kushoto), akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ,Mhandisi Hamad Masauni kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika masuala ya Ulinzi na Usalama, baada ya kumtembelea katika Ofisi Ndogo za wizara hiyo, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Ubalozi huo, Saddam Ahmed Ally. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini, Khalifa Abdulrahman Mohamed Al- Marzooqi (kushoto) kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika masuala ya Ulinzi na Usalama, baada ya kumtembelea katika Ofisi Ndogo za wizara hiyo, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Ubalozi huo, Saddam Ahmed Ally. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini, Khalifa Abdulrahman Mohamed Al- Marzooqi akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili katika Ofisi Ndogo za Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Hivyo makala Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini
yaani makala yote Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/naibu-waziri-wa-mambo-ya-ndani.html
0 Response to "Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azungumza na Balozi wa Nchi ya Falme za Kiarabu hapa nchini"
Post a Comment