Loading...

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU

Loading...
RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU
link : RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU

soma pia


RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofiki Ikulu Zanzibar leo 10-12-2018, kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kufanya mazungumzo Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe, Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofika Ikulu Zanzibar leo, kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na kujitambulisha.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.10-12-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozo wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha leo,10-12-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi Mpya ya UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo.10-12-2018.(Picha na Ikulu)


Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU

yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rais-dkt-shein-azungumza-na-balozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI TANZANIA LEO IKULU"

Post a Comment

Loading...