Loading...

RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali

Loading...
RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali
link : RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali

soma pia


RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo amewatahadharisha wafanyabiashara watakaogushi taarifa kwa nia ya kupatiwa vitambulisho vilivyotolewa na Rais Dk.John Pombe Magufuli kwaajili ya wajasiliamali wadogowadogo kote nchini walio na mitaji isiyozidi shilingi milioni nne.

Amesema kuwa jukumu lake ni kuvikabidhi kwa wakuu wake wa wilaya ili nao kuvifikisha kwa wakurugenzi na hatimae kuwafikia walengwa wa vitambulisho hivyo na kuongeza kuwa wajasiliamali waondoe shaka juu ya idadi ya vitambulisho hivyo kwani vikiisha vitaagizwa vingine na hakuna atakaekosa.

“20,000/= kwa kila kitambulisho, lakini kwa mtu yeyote yule ambae atakuwa “amefoji” ambae atapewa kitambulisho bila ya kustahili atanyang’anywa kitambulisho hicho na 20,000/= hazitarudi, kwahiyo nitoe angalizo kwa hawa wajasiliamali wadogo wadogo wazingatie hizo taratibu ambazo zimewekwa,” Alisisitiza.

Ameyasema hayo katika hafla fupi ya kukabidhi vitambulisho hivyo 25,000, kwa wakuu wa Wilaya tatu za Sumbawanga, Kalambo na Nkasi zenye halmashauri nne, hivyo kila halmashauri kupatiwa vitambulisho 6,250.
 Mkuu wa mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo (Kulia) akikabidhi vitambulisho vya wajasiliamali kwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Julieth Binyura vilivyotolewa na Rais Dk.John Pombe Magufuli kwaajili ya wajasiliamali wadogowadogo kote nchini walio na mitaji isiyozidi shilingi milioni nne.
 Mkuu wa mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo (Kulia) akikabidhi vitambulisho vya wajasiliamali kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Said Mtanda vilivyotolewa na Rais Dk.John Pombe Magufuli kwaajili ya wajasiliamali wadogowadogo kote nchini walio na mitaji isiyozidi shilingi milioni nne.
 Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule akisaini hati ya kupokea vitambulisho kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo muda mfupi kabla ya kupewa vitambulisho hivyo vilivyotolewa na Rais Dk.John Pombe Magufuli kwaajili ya wajasiliamali wadogowadogo kote nchini walio na mitaji isiyozidi shilingi milioni nne.


Hivyo makala RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali

yaani makala yote RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rc-wangabo-awatahadharisha-wataogushi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC Wangabo awatahadharisha wataogushi taarifa ili kupewa vitambulisho vya wajasiliamali"

Post a Comment

Loading...