Loading...
title : REPOA YAWANOA WATENDAJI WA NGAZI YA KATI WA SERIKALI NAMNA BORA YA KUTUMIA MATOKEO YA UTAFITI ILI KULETA MAENDELEO YA HARAKA
link : REPOA YAWANOA WATENDAJI WA NGAZI YA KATI WA SERIKALI NAMNA BORA YA KUTUMIA MATOKEO YA UTAFITI ILI KULETA MAENDELEO YA HARAKA
REPOA YAWANOA WATENDAJI WA NGAZI YA KATI WA SERIKALI NAMNA BORA YA KUTUMIA MATOKEO YA UTAFITI ILI KULETA MAENDELEO YA HARAKA
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya Masuala ya Uchumi na Maendeleo (REPOA) , Dkt Donald Mmari akitoa taarifa ya utangulizi kabla ya mgeni rasmi kufungua mafunzo ya siku tano yaliyoanza Desemba 3, 2018 mjini Morogoro kwa Watendaji wa ngazi ya kati wanaohusika na mipango na sera katika Wizara na Idara za serikali yakiwa na lengo la kuangalia namna bora ya kutumia matokeo ya utafiti mbalimbali unaofanywa na watafiti ili kuleta maendeleo ya haraka kwa jamii na taifa.
Watendaji wa ngazi ya kati wanaohusika na mipango na sera katika Wizara na Idara za serikali pamoja na watafiti baadhi yao wa Taasisi ya Utafiti ya Masuala ya Uchumi na Maendeleo (REPOA) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mgeni rasmi Kaimu Katibu tawala wa mkoa wa Morogoro, Noel Kazimoto ( kati kati walioketi ) kufungua mafunzo ya siku tano yaliyoanza Desemba 3, 2018 mjini Morogoro yakiwa na lengo la kuangalia namna bora ya kutumia matokeo ya utafiti mbalimbali unaofanywa na watafiti ili kuleta maendeleo ya haraka kwa jamii na taifa na ( wapili kushoto) ni Mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo, Dkt Donald Mmari.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya Masuala ya Uchumi na Maendeleo (REPOA) , Dkt Donald Mmari ( wapili kutoka kulia ) akifurahia jambo na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tano yaliyoanza Desemba 3, 2018 mjini Morogoro baada ya kufunguliwa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Noel Kazimoto ( hayupo pichani) yakiwa na lengo la kuangalia namna bora ya kutumia matokeo ya utafiti mbalimbali unaofanywa na watafiti ili kuleta maendeleo ya haraka kwa jamii na taifa .
Hivyo makala REPOA YAWANOA WATENDAJI WA NGAZI YA KATI WA SERIKALI NAMNA BORA YA KUTUMIA MATOKEO YA UTAFITI ILI KULETA MAENDELEO YA HARAKA
yaani makala yote REPOA YAWANOA WATENDAJI WA NGAZI YA KATI WA SERIKALI NAMNA BORA YA KUTUMIA MATOKEO YA UTAFITI ILI KULETA MAENDELEO YA HARAKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala REPOA YAWANOA WATENDAJI WA NGAZI YA KATI WA SERIKALI NAMNA BORA YA KUTUMIA MATOKEO YA UTAFITI ILI KULETA MAENDELEO YA HARAKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/repoa-yawanoa-watendaji-wa-ngazi-ya.html
0 Response to "REPOA YAWANOA WATENDAJI WA NGAZI YA KATI WA SERIKALI NAMNA BORA YA KUTUMIA MATOKEO YA UTAFITI ILI KULETA MAENDELEO YA HARAKA"
Post a Comment