Loading...

SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO.

Loading...
SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO.
link : SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO.

soma pia


SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO.

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesmea kuwa hana hofu na mchezo wake wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa ya Afrika dhidi ya Nkana FC ya Zambia kwa kuwa kikosi chake ni moto wa kuotea mbali.

Simba watacheza na Nkana FC Desemba 15 ikiwa ni hatua ya kwanza baada ya kuvuka hatua ya awali kibabe kwa kuwapiga Mbabane Swallows ya Eswatin mabao 8-1.

"Tupo vizuri kuelekea katika mchezo wetu dhidi ya Nkana FC, kikubwa tunachohitaji ni ushindi ili kuongeza kujiamini kwa wachezaji wangu, kila kitu kitakuwa sawa kwa kuwa wapinzani nawatambua," alisema.

Simba wanatarajiwa kukwea pipa kesho kuwafuata Nkana FC ya Zambia ambayo Mtanzania Hassan Kessy anacheza na mchezo wa marudio unatarajiwa kuwa Desemba 23 uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Hivyo makala SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO.

yaani makala yote SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/simba-yapania-kuimaliza-nkana-fc-kwao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA YAPANIA KUIMALIZA NKANA FC KWAO."

Post a Comment

Loading...