Loading...

Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS

Loading...
Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS
link : Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS

soma pia


Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS


Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikirudisha nyuma maendeleo ya kilimo ni wadudu wanaobangua nafaka, pamoja na wakulima wengi kujikita katika upuliziaji dawa ya kuzuia wadudu hao bado haikuzuia wadudu kushambulia nafaka kavu kwa asilimia 100.

Kero hiyo ilisababisha wakulima kulazimika kuuza nafaka hizo kwa bei ya hasara ili mradi kukwepa usumbufu wa kupuliza dawa na wengine kuuza nafaka hizo kwa bei ya kupangiwa na wachuuzi wakihofia zitakapokaa muda mrefu zitapoteza ubora wake wa awali.

Kero hiyo iliwasumbua wakulima wengi katika nchi za Kiafrika, kabla ya wasomi wa Chuo Kikuu cha Purdue cha Marekani ambacho kilifanya utafiti katika nchi za Afrika Magharibi na kisha kuanzisha teknolojia mpya ya kuhifadhi nafaka kwa kutumia mifuko maalumu ya tabaka tatu kwenye nchi ya Cameroon.

Wasomi wa chuo hicho walitengeneza mifuko hiyo maalumu ya kuhifadhi nafaka iliyopewa jina la Purdue Improved Crops Storage (PICS) ambayo ni mahususi kwa kuhifadhi nafaka kavu bila kutumia kemikali.“Tanzania teknolojia ya PICS ilianza mwaka 2014 ambapo kiwanda cha PEE PEE Tanzania Limited (TTTL) cha Tanga kilipata kibali cha kutengeneza mifuko hiyo.

“Wakati unaingia nchini, tayari mradi huo ulikuwa umeenea katika nchi za Afrika Magharibi na Mashariki ya mbali ukifanyika chini ya ufadhili wa Taasisi ya Melinda and Gates Foundation,” anasema meneja mradi wa PICS Tanzania, Ladislaus Ngingo.

MATUMIZI YA MIFUKO YA PICS

Ngingo anasema tofauti ya mifuko ya PICS na mingine ya salfeti ni kwamba ile ya PICS imetengenezwa maalumu kwa ajili ya kuhifadhia nafaka kavu bila kubanguliwa na wadudu kwa zaidi ya miezi sita na mkulima hatohitaji kupulizia dawa nafaka atakazohifadhi kwenye mifuko hiyo.

“Katika kipindi chote hicho nafaka zitaendelea kubaki katika ubora ule ule kama kwamba ndiyo zimetolewa shambani muda huo, mifuko hii ina nailoni mbili ndani ambazo ni nzito kila moja ina ‘macron’ 80 ambazo zina upekee katika kuhifadhi nafaka kavu,” anasema Ngingo.

Familiya kijijini Mnenia, Wilayani Kondoa ikitoa ushuhuda wa usalama wa mahindi yao. Yalihifadhiwa miaka miwili, na mifuko ya PICS.


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>


Hivyo makala Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS

yaani makala yote Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/teknolojia-ya-mawasiliano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Teknolojia ya mawasiliano ilivyowarahisishia wakulima upatikanaji mifuko ya PICS"

Post a Comment

Loading...