Loading...

TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU

Loading...
TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU
link : TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU

soma pia


TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU

Na Tiganya Vincent
HALMASHAURI  za Wilayani Mkoani Tabora zimetakiwa kutumia wataalamu na wanachuo wa Chuo cha Ardhi Tabora ili kuhakikisha vijiji na miji yao inapimwa na kupagwa kwa ajili ya kuwa katika mpango wa matumizi bora ya ardhi. Hatua hiyo itasaidia kuepusha migogoro miongoni mwa wananchi na pia kuwawezesha kutumia maeneo yao kujiletea maendeleo ikiwemo kukopa fedha katika Taasisi mbalimbali zinazotoa mikopo kwa ajili ya shughuli za maendeleo.

Kauli hiyo hiyo imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mathias Kabundunguru wakati wa sherehe za mahafali ya 36 ya Chuo cha Ardhi Tabora.
Alisema Serikali imenunua vifaa mbalimbali vya kisasa kwa ajili ya Chuo hicho ambavyo vinawawezesha wataalamu wachche kupima eneo kubwa kwa muda mfupi na kwa gharama nafuu ukilinganisha ambavyo wangetumia Kampuni binafsi.

Kabundunguru alisema hakuna sababu ya maeneo mbalimbali katika Halmashauri za Mkoa wa Tabora na mikoa jirani kuendelea kujengeka bila mpangilio wakati Chuo kipo karibu. Alisema upimaji wa maeneo ya mijini na vijiji Mkoani humo utasaidia kuwaondoa wananchi kuishi katika maisha magumu na hatarishi kutokana na maeneo yao kutokuwa katika mpangilio.
 Mkuu wa Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) Biseko Musiba(aliyesimama) akitambulisha wageni mbalimbali wakati wa mahafali ya 36 ya Chuo hicho yaliyofanyika jana mjini Tabora.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ardhi Tabora(ARITA) Profesa Gabriel Kassenga akitoa salamu za Bodi wakati mahafali ya 36 ya  ARITA yaliyofanyika jana.
  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mathias Kabundunguru akiwahutubia wahitimu wa mahafali ya 36 ya Chuo cha Ardhi Tabora jana.
 Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Ardhi Tabora(ARITA) wakimsikiliza Mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 36 ya Chuo hicho yalifanyika jana.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mathias Kabundunguru (mwenye Joho la bluu waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na wakufunzi wa Chuo cha Ardhi Tabora jana mara baada ya kumalizika kwa mahafali ya 36 Chuo cha Ardhi Tabora yaliyofanyika jana. Picha na Tiganya Vincent

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU

yaani makala yote TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/tumieni-chuo-cha-ardhi-tabora-kupima.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUMIENI CHUO CHA ARDHI TABORA KUPIMA MIJI NA VIJIJI VYENU-KABUNDUGURU"

Post a Comment

Loading...