Loading...

UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM.

Loading...
UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM.
link : UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM.

soma pia


UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Raymond Mwangwala akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Watanzania wametakiwa kuendelea kumuunga mkono utendaji wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli hasa katika kufanikisha  maendeleo ya kiuchumi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Raymond Mwangwala, amesema kuwa kwa muda taifa linafanya maendeleo ili kwenda katika ukombozi ya kiuchumi.

Mwangwala amesema kuwa wakati umefika watanzania kuzungumz lugha moja pamoja na kusimama katika mapambano ya kiuchumi.

"Vijana wa sasa tunapaswa kupambana ya kiuchumi kwa sababu sio kazi ndogo kwani ni kubwa ambayo itaitaji umoja na ushirikiano" amesema Mwangwala.

Amesema kuwa serikali haiwezi kufanya jambo kwa ajili ya kuwaumiza wananchi bali ipo kwa lengo la kuwasaidia Watanzania.

Mwangwala amefafanua kuwa mambo ambayo serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt. John Magufuli katika mapambano ya kiuchumi  ni pamoja na ujenzi wa Reli ya Kisasa (Standard Gauge), Flyover ya Tazara kwa Mfugale, Daraja la Selandar, barabara ya njia nane kutoka kimara hadi kibaha.

Miradi mwengine ni mradi wa umeme mto rufiji (Stiegler's Gorge Hydropower Dam) pamoja na elimu bure, ununuzi wa korosho na ndege mpya.

"Umoja wa vijana CCM tunaendelea kuunga mkono utendaji wa Rais pamoja na kutangaza mambo mazuri anayofanya" amesema.



Hivyo makala UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM.

yaani makala yote UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/uvccm-wazungumzia-mapambano-ya-kiuchumi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UVCCM WAZUNGUMZIA MAPAMBANO YA KIUCHUMI UTENDAJI WA JPM."

Post a Comment

Loading...