Loading...
title : VIDEO' INAYOSAMBAA MITANDAONI YAWAIBUA TFS
link : VIDEO' INAYOSAMBAA MITANDAONI YAWAIBUA TFS
VIDEO' INAYOSAMBAA MITANDAONI YAWAIBUA TFS
*Yaomba radhi wasafiri, yafafanua utaratibu kusafirisha mazao ya misitu
*Pia yamzungumzia Ofisa wake wa Misutu, kumchukulia hatua za kinidhamu
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
WAKALA Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umepokea taarifa kupitia mitandao ya kijamii na wadau mbalimbali zinazohusisha namna Ofisa Misitu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga ambavyo alikuwa akitekeleza majukumu ya kusimamia Sheria ya Misitu Na. 14 ya Mwaka 2002 pamoja na Kanuni
zake za mwaka 2004.
Ofisa huyo alikuwa akitekeleza majukumu hayo kwa mujibu wa kifungu cha 93 (Powers of officers with respect to offences) inayompa mamlaka Ofisa Misitu au Ofisa wa Jeshi la Polisi kukagua, kukamata na kuzuia mazao yanayodhaniwa kupatikana kinyume na sheria.
Kwa kukumbusha tu leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa na video inayosambaa kwa kasi kubwa ikionesha namna ambavyo wananchi wanalalamikia kitendo cha Ofisa Misutu akilumbana na abiria baada ya kulisamamisha gari na kubaini kuna vitanda vimebebwa.Hivyo kukaibuka malumbano ambayo yamechangia TFS kuamua kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari.
Taarifa ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) iliyotolewa leo Desemba 30,2018 imesema uongozi wa TFS umefanya uchunguzi wa haraka na kubaini kuwa abiria mmoja alikuwa akisafirisha vitanda viwili vipya kwa basi. Vitanda hivyo vililipiwa ushuru wa Serikali kupitia mfumo wa Kielektroniki wa Malipo Serikalini (GePG) na kupewa stakabadhi halali ya Desemba 26, 2018 katika kituo cha Mkata, Handeni Mkoani Tanga.
Imefafanua katika kutekeleza majukumu yake, Ofisa wao alimtaka abiria huyo kuonesha hati ya Kusafirishia bidhaa hizo kwa mujibu wa Kanuni za Misitu Kifungu cha 13, sehemu ndogo ya 4 ambayo inakataza mwenye chombo chochote cha usafiri kusafirisha mazao ya misitu ambayo hayana hati ya usafirishaji ambapo abiria huyo hakuwa nayo.

Hivyo makala VIDEO' INAYOSAMBAA MITANDAONI YAWAIBUA TFS
yaani makala yote VIDEO' INAYOSAMBAA MITANDAONI YAWAIBUA TFS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIDEO' INAYOSAMBAA MITANDAONI YAWAIBUA TFS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/video-inayosambaa-mitandaoni-yawaibua.html
0 Response to "VIDEO' INAYOSAMBAA MITANDAONI YAWAIBUA TFS"
Post a Comment