Loading...
title : Wafanyakazi Wizara ya Afya ya Seirra Leone wafanya ziara ya kujifunza maswala ya Rasilmali Watu
link : Wafanyakazi Wizara ya Afya ya Seirra Leone wafanya ziara ya kujifunza maswala ya Rasilmali Watu
Wafanyakazi Wizara ya Afya ya Seirra Leone wafanya ziara ya kujifunza maswala ya Rasilmali Watu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla kulia akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
Mkuu wa Msafara Katibu Mkuu Wizara ya Afya ya Sierra Leone David Banya akizungumza kuhusiana na safari yao ya kuja Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
-Mkurugenzi Uendeshaji na Utumishi Wizara ya Afya Ramadhan Khamis Juma akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na ziara ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika nnje ya ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Wafanyakazi Wizara ya Afya ya Seirra Leone wafanya ziara ya kujifunza maswala ya Rasilmali Watu
yaani makala yote Wafanyakazi Wizara ya Afya ya Seirra Leone wafanya ziara ya kujifunza maswala ya Rasilmali Watu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi Wizara ya Afya ya Seirra Leone wafanya ziara ya kujifunza maswala ya Rasilmali Watu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/wafanyakazi-wizara-ya-afya-ya-seirra.html
0 Response to "Wafanyakazi Wizara ya Afya ya Seirra Leone wafanya ziara ya kujifunza maswala ya Rasilmali Watu"
Post a Comment