Loading...
title : Wataalam Muhimbili Wapigwa Msasa Kuhusu Sheria ya Manunuzi
link : Wataalam Muhimbili Wapigwa Msasa Kuhusu Sheria ya Manunuzi
Wataalam Muhimbili Wapigwa Msasa Kuhusu Sheria ya Manunuzi
Mtoa mada kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), Mhandisi Mary Swai akitoa mada kuhusu sheria ya manunuzi ya mwaka 2011 kwa wataalam wa manunuzi, fedha, wakaguzi wa ndani pamoja na wataalam wengine wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Mafunzo hayo ya siku nne yamebeba mada mbalimbali kuhusu sheria ya manunuzi ya umma ya mwaka 2011 na marekebisho yake ya mwaka 2016.
Washiriki mbalimbali wakimsikiliza mtoa mada kuhusu sheria ya manunuzi ya mwaka 2011 kwenye ukumbi wa NPC I katika hospitali hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa hospitali hiyo, Gerald Jeremiah akifuatilia mada na aliyesimama ni mtoa mada wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), Castor Komba akiwa pamoja na washiriki.
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo leo yanayohusu sheria ya manunuzi ya umma ya mwaka 2011 na marekebisho yake ya mwaka 2016.
Mtoa mada kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), Mhandisi Mary Swai akisisitiza jambo katika mafunzo hayo leo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada kuhusu sheria ya manunuzi ya mwaka 2011
Hivyo makala Wataalam Muhimbili Wapigwa Msasa Kuhusu Sheria ya Manunuzi
yaani makala yote Wataalam Muhimbili Wapigwa Msasa Kuhusu Sheria ya Manunuzi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wataalam Muhimbili Wapigwa Msasa Kuhusu Sheria ya Manunuzi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/wataalam-muhimbili-wapigwa-msasa-kuhusu.html
0 Response to "Wataalam Muhimbili Wapigwa Msasa Kuhusu Sheria ya Manunuzi"
Post a Comment