Loading...
title : WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI
link : WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI
WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI
Maandamano hayo yamefanyika leo Jumapili Desemba 2,2018 kutoka katika Soko Kuu la mjini Shinyanga hadi kwenye ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kufikisha ujumbe wao kwa Rais Magufuli za kuunga juhudi za utendaji wake kazi.
Akizungumza mara baada ya kumaliza maandamano hayo. Msemaji wa umoja huo wa watumishi wa Serikali ambao ni makada wa CCM Christopher Malengo,sambamba na kutoa tamko lao mbele ya katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Haula Kachwambwa, amesema wameguswa na kazi ya kizalendo ambayo anaifanya Rais Magufuli ya kupigania maslahi ya wanyonge wakiwamo wakulima.
Amesema Rais Magufuli amekuwa akijikita katika misingi ya ujamaa,utu,uzalendo na haki kama alivyokuwa akifanya hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye utawala wake, katika kuhakikisha anapigania maslahi ya wanyonge na kukomesha wanyonyaji ili wananchi wote waweze kupata haki sawa, vitendo ambavyo zinapaswa kupongezwa.

Hivyo makala WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI
yaani makala yote WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/watumishi-wa-serikali-makada-wa-ccm.html
0 Response to "WATUMISHI WA SERIKALI MAKADA WA CCM SHINYANGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI"
Post a Comment